Maharusi wakiwalisha ndafu wapambe wao katika mnuso wa kumeremeta kwao wikiendi ilopita katika ukumbi wa Selous wa JB Belmont Hotel jijini Dar es salaam.
Bwana na Bibi Harusi wakijiandaa kukata ndafu
Bwana Harusi akimlisha my wife wake keki
Maharusi wakifurahia chakula
Bibi Harusi akimlisha ndafu my husband wake
PICHA NA MATUKIO SOURCE
michuzi-matukio.blogspot
No comments:
Post a Comment