Monday, May 21, 2012

MKUTANO WA ( EPA) ARUSHA.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara wa Tanzania  Dkt Shaaban Mwinjaka ( Wa nne kutoka kushoto waliokaa) akiwa na Wajumbe wa Mkutano wa Jumuia za kikanda za Afrika zinazojadiliana kuhusu ushirikiano wa ki uchumi kati ya jumuia hizi za Afrika na wenzao wa Ulaya kupitia mkataba wa Ubia wa Ki uchumi (EPA). Mkutano huu wa kwanza kwa mwaka huu, uliandaliwa na Tume ya Umoja wa Afrika kwa kushirikiana na Jumuia ya Afrika Mashariki na kufanyika mjini Arusha Tanzania mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment