WAREMBO 14 wanataraji kupanda jukwaani leo Mei 5 mwaka huu, katika Ukumbi wa Wenge Garden ulipo Ukonga Mombasa, jijini Dar es Salaam kuwania taji la Redds Miss Ukonga 2012.
Mambya aliwataja warembo hao 14 watakao panda jukwaani kuwa ni Shekha Shally, Zainab Matagi, Mageshi Boniface, Juliana Henry, Mary Chizi, Leah John’s na Magdalena Gisse.
Wengine watakao shiriki Redds Miss Ukonga 2012 ni pamoja na Zawadi Mwambe, Stellah Maurice, Amina Sangawe, Elizabeth Pertty, Alicia Donatus, Rachel Isaaack na Amina Ramadhani.
Shindano la Miss Ukonga 2012 linadhaminiwa na Redds Primium Cold, Clouds FM, Father Kidevu Blog, Kiota Jungle, V Mask Logistic, Mambya Insurance, Mamushka Pub & Catering, Hill tech Resort, Mr Mabaga, G Obonyo na Excel Beaut Salon.
No comments:
Post a Comment