Saturday, May 5, 2012

SHOW KUBWA YA KILI MUSIC AWARDS WINNERS 2012 KUANZA JIONI YA LEO KIRUMBA MWANZA

 Wadau wakubwa wa Kilimanajro Bia wakijadiliana namna ya mambo yatakavyoenda Uwanja wa Kirumba leo.
mashabiki na wapenzi wa Muziki wameshaanza kgia uwanjani na kila mtu ana kinywaji chake mkononi na ndio kiingilio chake. 
 Mashabiki wakingoja burudani Kirumba hii leo
Jamani leo ni vitu laini tu hapa Kirumba Mwanza na mambo ndio kama hivyo no chupa ni vijikopo tu 

Jamaa ananiambia hapa haingii mtu bila kuponi ya Bia au Malta

No comments:

Post a Comment