Wednesday, May 2, 2012

PINDA AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA KILIMO DUPOINT YA MAREKANI.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bw. James Borel (kushoto kwake) ambaye ni Makamu wa Rais Mtendaji  wa Kampuni  ya  kilimo  ya DuPont  ya  Marekani na ujumbe wake, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Mai 2, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment