Wednesday, May 30, 2012

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIAGANA NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA IRAN

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mh Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi
Picha na IKULU


No comments:

Post a Comment