Familia ya marehemu MZEE ABDALLAH MOHAMMED ( MACHECHE) ,
wanapenda kutoa shukrani za dhati kwa mchango wenu mkubwa mlio
uonyesha wakati maazishi katika shughuli nzima za kumpumnzisha
mtoto wetu mpendwa" MOHAMMED ABDALLAH (BACHECHE)"
Tunapenda kuwaarifu kwenye shughuli ya AROBAINI ya mtoto wetu itakayofanyika nyumbani kwao kwa Marehemu MZEE ABDALLAH
MOHAMMED (MACHECHE) Makumbusho / kijitonyama,karibu na shule ya msingi makumbusho. Tarehe 26/05/2012, Kuanzia saa saba mchana baada ya sala ya adhuhuri
MUNGUAZILAZE ROHO ZAO MAHALI PEMA PEPONI” ‘ameen’
No comments:
Post a Comment