Wednesday, May 16, 2012

SUPER D BOXING COACH AKABIZIWA CHETI CHA KUTAMBUA UWEZO WAKE WA KUSAPOTI MCHEZO MASUMBWI KUSONGA MBELE.

Rajabu Mhamila ‘SUPER D BOXING COACH’ akipokea cheti kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, David Misime cha kutambua mchanmgo wake wakati wa Mpambano wa Francis Cheka na Mada Maugo SUPER D ambaye ni Kocha wa Masumbwi na Mtayarishaji wa DVD za masumbwi zinazofundisha sheria na mbinu za mchezo huo akichanganya na mabondia wa kimataifa pia amekuwa akitoa vifaa vyake mwenyewe kwa ajili ya kuchezea mapambano ya kimataifa zikiwemo glove na vifaa vingine mbalimbali.
Super D Boxing Coach katikati akiwa ameshika cheti chake. Kushoto ni Fadhili Swala wa Mlimani TV, Mkandemba wa Tanzania Daima na Kulia ni Rais wa TPBO Yasini Abdallah.

Super D Boxing Coach akiwa na wadau mbalimbali ambao nao wametambuliwa kwa kusapoti mchezo wa masumbwi nchini.

No comments:

Post a Comment