Thursday, May 17, 2012

TANZANIA KUWA MWENYEKITI WA MIKUTANO YA MWAKA 2012 YA BODI YA MAGAVANA WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA.

Afisa Mipango wa Benki ya Maendeleo ya Afrika nchini Tanzania bw. Projesh Bhakta akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Tanzania kuwa mwenyeji wa mikutano ya mwaka 2012 ya bodi ya magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika na Mfuko wa Maendeleo ya Afrika, ambapo amesema mikutano hii inafanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania tangu Benki ya maendeleo ya Afrika ianze shughuli zake hapa nchini mwaka 1971. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Benki hiyo Bi. Tonia Kandiero.

No comments:

Post a Comment