Sunday, May 27, 2012

TASWIRA ZA PICHA TOKA ZANZIBAR LEO..


Mmoja wa waandamanaji wa kundi la uamsho na mihadara ya kiislam (JIMIKI)kisiwani unguja,Zanzibar akionyesha kitambaa kilicho na damu mapema leo asubuhi,ikiwa imesababisha vurugu kubwa kisiwani humo,iliyopelekea kuchoma moto moja ya makanisa pamoja na magari,vurugu hizo ni baada ya kiongozi mmoja wa jumuiya hiyyo kukamatwa.
Askari wa jeshi la kikosi cha kuzuia Ghasia wakifanya doria katika mitaa mbalimbali ya Zanzibar mpaka leo asubuhi.
Waandishi wa jumuia ya uamsho na mihadhara ya kiislam (jumiki)wakiendelea na maandamano yao leo asubuhi.

Hii ndio nembo ya jumuiya, hiyo picha kwa hisani mdau Zanzibar


picha kwa hisani na ISSAMICHUZI BLOG.


No comments:

Post a Comment