Mtangazaji wa Kipindi cha “THE MBONI SHOW” Mboni Masimba (katikati) akizungumza na waandishi wa habari juu ya dhima ya kipindi chake kipya kitakachokuwa kikirushwa kupitia Luninga ya EATV kuanzia tarehe 31st May, 2012. Kushoto ni Muongozaji wa kipindi hicho George Tyson na Kulia ni Mratibu wa Vipindi EATV Sophia Mng’anya.
No comments:
Post a Comment