Friday, May 18, 2012

WATANZANIA WAMUAGA MAFISANGO “JEMBE” KWA VILIO.


Mchezaji wa Simba Haruna Moshi a.k.a Boban akiwa haamini macho yake baada ya kuutazama mwili wa mchezaji mwenzake. Aliyemshikilia ni Mwenyekiti wa Simba SC Ismail Aden Rage. 





Waziri wa  Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samuel Sitta akilia kwa uchungu baada ya kuaga mwili wa aliyekuwa mchezaji wa kimataifa wa Klabu ya Simba Patrick Mafisango



Kikosi cha Redcross wakitoa huduma ya kwanza.

No comments:

Post a Comment