Ofisa Mkuu wa huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania Charity Safford, akianzisha msafara wa magari yaliyobeba wafanyakazi wa Vodacom kwenda mitaani jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwaelimisha wateja wao kuhusu namna ya kunufaika na kampeni ya “WAJANJA”,Inayomwezesha mteja wa Vodacom kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi 25 kwa mtandao wowote hapa nchini na kutumia facebook na twitter bure.
Mmoja wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania akimpatia kipeperushi mkazi wa jijini Dares Salaam wakati wafanyakazi hao walipoenda mitaani kwa ajili ya kuwaelimisha wateja wao kuhusu kwa kunufaika na kampeni ya “WAJANJA”,Inayomwezesha mteja wa Vodacom kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi 25 kwa mtandao wowote hapa nchini na kutumia facebook na twitter bure.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Bi.Joseline Kamuhanda,akiongea na waandishi wa habari jijini Dares Salaam wakati wafanyakazi wa Kampuni hiyo walipoenda mitaani kwa ajili ya kuwaelimisha wateja wao kuhusu na kunufaika na kampeni ya “WAJANJA”,Inayomwezesha mteja wa Vodacom kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi 25 kwa mtandao wowote hapa nchini na kutumia facebook na twitter bure.
No comments:
Post a Comment