Thursday, May 10, 2012

RAIS KIKWETE ATEMBELEA SOKO LA MITAJI NA MAZAO LA ETHIOPIA (ETHIOPIA COMMODITY EXCHANGE.

Rais Dkt. Jakaya Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika ofisi za Soko la Mitaji na Mazao la Ethiopia leo,wakati alipotembelea na kuelezwa mafanikio ya soko hilo ambapo wakulima wakubwa na wa kawaida wanafanya biashara ya mazao kitaifa na kimataifa kwa njia ya kisasa.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akipokea kikombe cha kahawa baada ya kishuhudia namna kahawa inavyoandaliwa kaisili katika ofisi za Soko la Mitaji na Mazao la Ethiopia leo,wakati alipotembelea na kuelezwa mafanikio ya soko hilo ambapo wakulima wa wakubwa na wa kawaida wanafanya biashara ya mazao kitaifa na kimataifa kwa njia ya masoko ya hisa na mitaji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kengele kuashiria mwanzo wa soko katika makao makuu ya za Soko la hisa na Mitaji ya Mazao la Ethiopia leo,wakati alipotembelea na kuelezwa mafanikio ya soko hilo ambapo wakulima wa wakubwa na wa kawaida wanafanya biashara ya mazao kitaifa na kimataifa kwa njia ya kisasa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia wachuuzi wakiwa kazini baada ya kufunguliwa kwa soko katika makao makuu ya za Soko la hisa na Mitaji ya Mazao la Ethiopia leo,wakati alipotembelea na kuelezwa mafanikio ya soko hilo ambapo wakulima wa wakubwa na wa kawaida wanafanya biashara ya mazao kitaifa na kimataifa kwa njia ya soko la hisa na mitaji.(PICHA NA IKULU).

No comments:

Post a Comment