Mwenyekiti wa Mkutano wa kukusanya maoni kusuhu mapendekezo ya kuangalia upya viwango vya nauli kwa usafiri wa reli nchini Bw. Linford Mboma akitoa hotuba ya kufunga mkutano huo leo jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine amezungumzia tatizo la Shirika la Reli kukabiliwa na gharama kubwa za uendeshaji. Kulia ni Mkuu wa Mipango wa TRL Bi. Anni Malisa.
Pichani juu na chini ni Wadau mbali mbali waliohudhuria mkutano huo wakiwa katika tafakari kuhusiana na kipi kifanyike kuboresha usafiri wa njia ya reli hapa nchini haswa kuhusu na suala la nauli.
Sehemu ya wadau wakifikiria mbinu na mikakati ya kuangalia upya viwango vya nauli kwa usafiri wa reli.
No comments:
Post a Comment