Mkali wa miondoko ya kipwani kutoka Zanzibar AT akifanya vitu vyake sambamba na wanenguaji wake wakati wa tamasha la Washindi wa Tuzo za Kilimanjaro “Kili Music Award Winners Tour” lililofanyika katika uwanja wa Umoja mjini Mtwara.
Mkongwe wa Taarab, Bi. Hadija Kopa akitumbuiza jukwaani na kukonga nyoyo za wakazi wa Mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi Mkoani Mtwara kwa vibao vyake kadhaa ambavyo vimempa tuzo ya Kili Music Award 2012.
Chipukizi wa 3 wa Mtwara waliokuwa wakichuana kutafuta mmoja atakaeenda Kurecord jijini Dar es Salaam kwa udhamimi wa Kilimanjaro Lager.
Show ya wakali wa Kili Music Award 2012 ndani ya Uwanja wa Umoja mjini Mtwara. Pichani ni Mshindi kutoka Mtwara ambaye ataenda kurecord jijini Dar es Salaam Nicolazo akitumbuiza na kuwashinda wenzake wawili.
Mashabiki wakifuatilia show hiyo ya kutafuta vipaji.SOURCE: FATHER KIDEVU BLOG.
No comments:
Post a Comment