Wednesday, May 2, 2012

WAKE WA VIONGOZI WATEMBELEA KAMBI YA NETIBOLI TAIFA QUEENS KIBAHA.

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama za Netiboli Tanzania (CHANETA), Anna Bayi moja kati ya katoni 40 za maji ya kunywa wakati wake wa viongozi  walipotembelea kambi ya timu ya taifa ya netiboli, Taifa Queens kwenye shule ya sekondari ya Filbert Bayi, Kibaha Mai 1, 2012.  Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais, Mama Zakia Bilal  na watatu kulia pia ni  Mke  wa Makamu wa Rais, Mama Asha  Bilal kushoto ni Mama Hasna Kawawa.

Wake wa Viongozi Wakuu wa Serikali ambao ni wananchama wa New Millenium Group wakihushudia mazoezi ya timu ya taifa ya netiboli, Taifa Queens kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari ya Filbert Bayi iliyopo Kibaha, Mei Mosi 2012.  Kutoka kushoto ni Regina Lwassa, Zakia Bilal, Mwenyekiti wa CHANETA, Anna Bayi, Tunu Pinda, Anna Mkapa, Sha Bilal na Khadija Mwinyi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment