Thursday, June 21, 2012

ANNUAL SHOP & BRUNCH FAIR

HAYA SASA MAFASHIONISTAZ WA JIJI LA DAR, WALE WAPENDAO TO ROCK!! KWA MARA YA KWANZA KABISA NDANI YA THAI VILLAGE CHOLE ROAD MASAKI INAWALETEA ANNUAL SHOP & BRUNCH FAIR, UTAWEZA KUSHOP HUKU UNAJISAVIA WINE NA KUCHEZA MZIKI PIA KUKUTANA NA MARAFIKI
KUTAKUWEPO NA SHOPPING GAME, umeshawahi kucheza???!!!!

TAREHE:: 30 JUNE 2012 & 1st JULY 2012
MUDA:: 10:00 HADI 05:00 JIONI
WAPI:: THAI VILLAGE CHOLE ROAD MASAKI

STAY TUNED HAPA HAPA MASHUGHULI BLOG KUONA PICHA ZA EVENT YA MWISHO ANNUAL SHOP & BRUNCH FAIR NA PIA UTAWEZA KUONA PICHA YA VITU VITAVYOUZWA SIKU HIYO!!!


Mashughuli Blog watakuwepo kwa ajili ya picha za 
RED CARPET

COME ONE COME ALL!!!!


No comments:

Post a Comment