Saturday, June 16, 2012

BONGE LA SHEREHE YA BIRTHDAY YA LAD JAY DEE, ILIKUWA BOMBA


 Maggie akiwa ameikamatia keki kuipeleka mbele.


 Lady Jay Dee akipokea keki yake huku Barnaba akimuimbia kwa furaha.


 Kila mmoja alikuwa akitaka kupiga picha ya ukumbusho.

 ...akikata keki yake kwa taratibu kabisa...


No comments:

Post a Comment