Saturday, June 16, 2012

MNADHIMU MKUU WA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ) ALIPOTEMBELEA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE

Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo(kulia) akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Hamad Rashid Mohamed (kushoto) jana katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma wakati alipowasili katika Ukumbi kwa ajili ya kufuatilia Bajeti ya Serikali ya 2012/13.
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO_Dodoma.

Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo(kulia) akisalimiana na Mbunge wa Simanjiro Christopher Ole Sendeka (kushoto) jana katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma wakati alipowasili katika Ukumbi kwa ajili ya kufuatilia Bajeti ya Serikali ya 2012/13.

No comments:

Post a Comment