Italia ilipata ushindi dhidi ya timu ya Jamhuri ya Ireland ambayo tayari wachezaji wake walikuwa wanajitayarisha kuondoka kutoka mashindano ya Euro 2012, kwa kuwafunga magoli 2-0.
Jesus Navas alikuwa ni mkombozi wa timu ya Uhispania, kupitia bao la dakika za mwisho mwisho dhidi ya Croatia, na kuiwezesha nchi yake kufuzu kuingia robo fainali katika mashindano ya Euro 2012.
Sasa mabingwa watetezi Uhispania wanasubiri kujua kama watakutana na England au Ufaransa katika timu nane ambazo zitasalia kucheza robo fainali.
No comments:
Post a Comment