Saturday, June 2, 2012

IVORY COAST YAIFUNGA TAIFA STARS 2-0 ABDIJAN IVORY COAST

Mpira umekwisha huko Abdijan Ivory Coast katika uwanja wa Felixs houphouet Boigny kati ya  Taifa Stars na timu ya taifa ya huko,ambapo Mchezaji Solomon Kalou wa Ivory Coast ameifungia timu hiyo goli la kwanza, ikiwa ni makosa ya mabeki wa Taifa Stars ,  Taifa Stars haijapata kitu katika mchezo huo.
Goli la pili limefungwa na mchezaji  Didier Drogba ambaye pia anacheza katika klabu bingwa ya Ulaya Chealsea ya Uingereza.
Habari kwa hisani ya Full Shangwe


No comments:

Post a Comment