Saturday, June 2, 2012

MSHINDI WA REDD'S MISS DODOMA NI LIGHTNESS MICHAEL



Mshindi wa Taji la Redd's Miss Dodoma 2012, Lightness Michael (katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na Mshindi wa Pili Berinda Mdogo (Kulia) na Mshindi wa Tatu wa taji la Redd's Miss Dodoma 2012 Nulsa Magambo Mara baada ya Kumalizika kwa shindano hilo usiku wa kuamkia leo.
 Washiriki walioingia hatua ya tano bora
Washiriki wa Kinyanganyiro Cha Redd's Miss Dodoma Wakiwa Katika Picha ya Pamoja kabla ya Kutangazwa Washiriki walioingia Tano Bora
Mshindi wa Kwanza wa Taji la Redd's Miss Dodoma 2012 Lightness Michael akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa Shindano hilo.
Picha Na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog


No comments:

Post a Comment