Tuesday, June 19, 2012

KUTOKA MJENGONI MJINI DODOMA LEO.

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hussein Mwinyi akimsikiliza kwa makini Sr. Basilisa Panga (kushoto) kutoka Idara ya Afya ya Jimbo la Mbulu alipotembelea Bunge la Tanzania jana(leo) kwa ajili ya kuonana na Waziri huyo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hussein Mwinyi (kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Mji Mkongwe   Muhammad Ibrahim Sanya(katikati) na Sr. Basilisa Panga (kushoto) kutoka Idara ya Afya ya Jimbo la Mbulu jana nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya Dr.Mary Mwanjelwa (kushoto) akibadilishana mawazo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Shamsi Vuai Nahodha(kulia).Picha na tiganya Vincent-Dodoma
 


No comments:

Post a Comment