Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Diamond akiingia stejini kwa mbwembwe kali wakati wa uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Diamond akiwa amebebwa juujuu na wacheza shoo wake hapo jana wakati wa uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Diamond akiwapagawisha mashabiki wake waliofurika katika uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nay Wamitego toka kundi la mkong’oto jazz band akionyesha umahiri wake wakati wa uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Bosi nyuma ya steji wakati wa uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania.
Mwanamziki wa kizazi kipya Sheta na mwenzake wakipagawisha wakati wa uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Ommy Dimpoz akiwapagawisha mashabiki wake waliofurika katika uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii anaechipukia kwa kasi Dogo Lila Modigo ambae ni mwanafunzi wa darasa la pili,akionyesha kipaji chake wakati wa uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Bro kama buti yako ni kali ila na yangu ni noma zaidi…alisikika Dogo Lila akiongea na Mtangazaji wa Clouds Fm B12 wakati wa uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Chid Benz akiwapagawisha mashabiki wake waliofurika katika uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Ommy Dimpoz kushoto akibadilishana mawazo na Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Kevini Twissa wakati wa uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Nyomi ya watu walifika katika uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
No comments:
Post a Comment