Saturday, June 23, 2012

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KULA CHAKULA CHA JIONI NA VIONGOZI WA UMOJA WA WATANZANIA WAISHIO NCHINI BRAZIL.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Katibu wa Umoja wa Watanzania, waishio nchini Brazil, Heri Juma Mbwana, wakati alipokutana nao katika hafla ya chakula cha jioni na mazungumzo, iliyofanyika katika Hoteli ya Arena, Rio de Jeneiro, Juni 22, 2012. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mke wa Makam wa Rais, Mama Zakhia Bilal,Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Maadhi Juma Maalim, Balozi wa Tanzania nchini Brazil Francis Malambugi, na Balozi Liberata Mulamula, wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Umoja wa Watazania, wakati alipokutana nao viongozi hao wa moja wa Watanzania, waishio nchini katika hafla ya chakula cha jioni na mazungumzo, iliyofanyika katika Hoteli ya Arena, Rio de Jeneiro, Juni 22, 2012. 

No comments:

Post a Comment