Warembo wanaoshiriki shindano la Miss Dar Inter Collodge 2012, wakifanya mazoezi ya wimbo wao wa ufunguzi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika Hoteli ya Grand Villa Kijitonyama Jijini Dar es Salaam. Shindano hilo litakalo pambwa na Burudani kutoka kwa Diamond linataraji kufanyika Ijumaa Juni 22, 2012 katika Ukumbi wa Makumbusho jirani na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM). (Picha na Mpigapicha wetu).
Warembo wanaoshiriki shindano la Miss Dar Inter Collodge 2012, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika Hoteli ya Grand Villa Kijitonyama Jijini Dar es Salaam. Shindano hilo litakalo pambwa na Burudani kutoka kwa Diamond linataraji kufanyika Ijumaa Juni 22, 2012 katika Ukumbi wa Makumbusho jirani na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM). (Picha na Mpigapicha wetu).
No comments:
Post a Comment