Kwa taarifa zilizopatikana hivi muda mchache uliopita zinaeleza kuwa aliyekuwa Muasisi wa CHADEMA, Bob Makani amefariki Dunia leo jijini Dar.Tutazidi kuwaletea habari zaidi kadiri ya zitakavyokuwa zinaingia.Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi-Amin.
No comments:
Post a Comment