Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Rombo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini Juni 9,2012 ambaye amehamishiwa katika hospitali ya tiba ya mifupa ya MOI katika hospitali ya Tafa ya Muhimbili akitokea hospitali ya KCMC Moshi kwa matibabu zaidi.
No comments:
Post a Comment