Saturday, June 9, 2012

NBC YADHAMINI MKUTANO WA CRB

Meneja Mahusiano  wa NBC, Danstan Kolimba akitoa mada kuhusu ni jinsi gani sekta ya ujenzi inavyoweza kunufaika na huduma za benki hiyo katika Mkutano wa Mwaka wa Bodi ya Makandarasi (CRB) uliofanyika jijini Dar es Salaam jana.  NBC ilidhamini mkutano huo.
Meneja Mahusiano  wa NBC, Danstan Kolimba (kulia) pamoja na baadhi ya washiriki wa  Mkutano wa Mwaka wa Bodi ya Makandarasi (CRB) uliofanyika jijini Dar es Salaam jana.  NBC ilidhamini mkutano huo.

Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Bodi ya Makandarazi wakimsikiliza Meneja Mahusiano wa NBC, Danstan Kolimba (hayupopichani) wakati akitoa mada yake kuhusu jinsi sekta ya ujenziinavyoweza kunufaika na huduma zitolewazo na NBC  wakati wa mkutano huo uliodhaminiwa na NBC jijini Dar es Salaam jana.



No comments:

Post a Comment