Saturday, June 9, 2012

SHAMRA SHAMRA ZA MKUTANO WA CCM JANGWANI.


Watu kutoka Temeke wakiingia viwanja vya Jangwani.

Wa Mbagala wakiingia viwanja vya Jangwani.

Wa Ilala wakiingia viwanja vya Jangwani.

Watu wakionyesha kuwa na shamrashamra baada ya kukaa nafasi zao.



 Mama aliyejipamba ki-CCM.

Vyombo vyenye nguvu za kutosha kufanya kila kinachosemwa kisikike barabara.


No comments:

Post a Comment