Saturday, June 23, 2012

TANZANIA YAZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU YA UTUMISHI WA UMMA DUNIANI.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma kuhusu maadhimisho ya siku ya utumishi wa umma ambayo yanaadhimisho leo tarehe 23.06.2012 kote duniani. Kuali mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni kujenga uwezo wa utekelezaji wa mkataba wa misingi na kanuni za utumishi wa umma na utawala ili kuwa nchi zinazojimudu kimaendeleo katika Afrika.(Picha na Tiganya Vincent-Dodoma).

No comments:

Post a Comment