TWANGA PEPETA PRESENTS AMSHA AMSHA ZA MZUKA WA TWANGA KILA JUMATANO NDANI YA CLUB BILLICANAS.
Habari nyingine njema kwa wapenzi wa Twanga Pepeta ni kwamba Wazee wa Burudani wasugua visigno pia wamefungua blog yao inayo enda kwa jina la asettwangapepeta.blogspot.com karibu uwatembelee na kupata habari zote zinazo husiana na Muziki wao.
No comments:
Post a Comment