Tuesday, June 19, 2012

VICHOCHEO VYA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI.


-Majumba ya video
-Picha chafu za ngono
-Kipato kidogo kwa wanafamilia kinachopelekea biashara ya ngono
-Unywaji wa pombe na vileo vingine
-Kutetereka kwa ndoa
-Mila Potofu
-Tabia ya kufunga ndoa bila kupima
SOURCE: Advocacy and Communication Department -TACAIDS.

No comments:

Post a Comment