Friday, June 22, 2012

WAZIRI MKUU AKITETA NA WABUNGE VIJANA DODOMA LEO.

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Mbunge  Bumbuli, Mh. January Makamba (katikati) na Mbunge wa Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 22, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment