Meneja Utafutaji Mafuta na Gesi kutoka kampuni ya Shell International Exploration and Production Dkt. Menno de Ruig akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. Eliakim C. Maswi kabla ya kuanza kwa kikao hicho.
Meneja Utafutaji wa Mafuta na Gesi kutoka kampuni ya Shell International Exploration and Production Dkt. Menno de Ruig akielezea shughuli ikiwa ni pamoja na hatua iliyofikiwa ya utafutaji wa mafuta na gesi wa kampuni hiyo. Kikao hicho kilishirikisha pia Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya nishati Mhe. George Simbachawene, Katibu Mkuu wa Wizara Bw. Eliakim C. Maswi ikiwa ni pamoja na wataalamu wa Wizara.
No comments:
Post a Comment