Monday, June 25, 2012

ZAMBIA WAISHUKURU PRECISION AIR KUANZA SAFARI ZA DAR ES SALAAM HADI LUSAKA.

Mkurugenzi Mkuu na CEO wa Precision Air, Alfonse Kioko akizungumza wakati wa tafrija ya uzinduzi wa safari za Shirika hilo la ndege jana kutoka Dar es Salaam hadi Lusaka Zambia kupitia Lubumbash.Hafla hiyo iliyofanyika katika mji wa Lusaka Hoteli ya Taji Pamodz. SOURCE:FATHER KIDEVU BLOG

No comments:

Post a Comment