Wednesday, May 23, 2012

IKULU:Rais Jakaya Kikwete Aongoza Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa,Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Mjini Dodoma

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri mkuu Mizengo Pinda na Wziri wa TAMISEMI Hawa Ghasia wakiongoza Mafunzo ya Wakuu wa mikoa, Makatibu Tawala wa mikoa na Wakuu wa wilaya yanayofanyika katika ukumbi wa St.Gaspar mkoani Dodoma Leo 
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati mafunzo ya wakuu wa mikoa,makatibu tawala na wakuu wa wilaya inayoendelea katika ukumbi wa St.Gaspar mkoani Dodoma Leo.
Baadhi ya Wakuu wa Mikoa na wilaya wanaoshiriki katika mafunzo katika ukumbi wa St.Gaspar mkoani Dodoma Leo.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment