Friday, May 25, 2012

LEO NI MAADHIMISHO YA SIKU YA UMOJA WA AFRIKA.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. John Haule akizungumzia maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Afrika ambayo kimataifa yanaadhimishwa leo kote duniani, ambapo kitafa yatafanyika ukumbi wa Nkhuruma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) kuanzia saa 3 asubuhi.  Kushoto ni Balozi wa Ugandan nchini Bw. Ibrahim Mukiibi na kulia ni Balozi wa Zimbabwe hapa nchini Adzai Chimonyo.
Balozi wa Ugandan nchini Bw. Ibrahim Mukiibi akizungumza machache kuhusiana na maadhimisho hayo ambapo ametaka nchi za Afrika kukuza ushirikiano hasa katika Nyanja ya biashara ili kuweza kupata soko katika jumuiya za kimataifa. Kauli mbiu ya maamdhimisho hayo mwaka huu ni “ Kukuza Biashara Miongoni mwa Nchi za Afrika”.

No comments:

Post a Comment