Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa akionyesha mkoba wenye Bajeti ya Serikali ya 2012/13 Bungeni Mjini Dodoma Juni 14, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Wapiga picha wakigombea picha ya Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa wakati aliponyanyua mkoaba wa Bajeti ya Serikali ya 2012/13, Bungeni Mjini Dodoma.
Mabalozi wa Nchi mbalimbali waliohudhuria Bungeni kusikiliza Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2012/13 iliyosomwa na Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa, Bungeni Mjini Dodoma.
Waziri wa Fedha,Dkt.William Mgimwa akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia Bungeni kusoma Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2012/13, Mjini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa akisoma bajeti ya Serikali ya 2012/13, Bungeni Mjini Dodoma leo.
No comments:
Post a Comment