Thursday, June 14, 2012

JK KUONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI DODOMA LEO

Ikiwa zimesalia saa chache tu kwa kusomwa bajeti ya serikali ya mwaka 2012/13 Bungeni mjini Dodoma leo Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma leo mchana. Pamoja nae pia alikuwepo Makamu wa Rais, Dk Gharib Bilal na waziri Mkuu Mizengo Pinda.

No comments:

Post a Comment